Twendeni Kwa Bwana
Twendeni Kwa Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 6,023 |
Twendeni Kwa Bwana Lyrics
Twendeni kwa Bwana, kutoa zawadi
Na sadaka zetu, tumtolee Mungu kwa moyo- Twendeni kwa Bwana kutoa zawadi
Na sadaka zetu kwa moyo - Tutoe kwa Bwana hata fedha zetu
Ametujalia amani - Mkate na divai Baba upokee
Vyote mali yako pokea - Mungu wa amani Baba wa upendo
Pokea vipaji vyetu twaleta