Upokee Bwana Upokee
Upokee Bwana Upokee | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 4,077 |
Upokee Bwana Upokee Lyrics
Upokee Bwana upokee,
Upokee sadaka *2- Pokea na nafsi zetu - upokee sadaka
Pokea na shida zetu -
Pokea na nyoyo zetu - - Pokea na mkate huo –
Pokea divai hiyo –
Pokea ubani huo – - Vitu ulivyoviumba –
Ukatupa viwe vyetu –
Ndivyo tunakutolea – - Uje ukavitakase –
Vitufae roho zetu –
Ili tupate uzima –