Upokee ee Bwana
Upokee ee Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 5,452 |
Upokee ee Bwana Lyrics
- Upokee ee Bwana -
Vipaji vyetu vitakase vibariki uvipokee
- Mkate wetu na divai -
- Fedha hizi na mazao -
- Hayo yote mali yako -
- Nyoyo zetu zenye toba -
- Twaungama na mwanao -
- Nia yake nia yetu -
- Utukuzwe wa sadaka -
- Tubariki kwa sadaka -