Upokee Sadaka Yetu
Upokee Sadaka Yetu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 11,308 |
Upokee Sadaka Yetu Lyrics
- Upokee sadaka yetu, twakutolea Baba
Upokee navyo vipaji, twakutolea BabaPokea Baba zawadi *2 twakutolea Baba
- Upokee mkate wetu -
Upokee divai yetu - Upokee mazao yetu-
Upokee na fedha zetu - - Nasi pia ni mali yako -
Tunatubu makosa yetu - - Upokee mioyo yetu -
Upokee na nafsi zetu - - Haya yote ni mali yako-
Uyapokee kwa huruma - - Uviunge vipaji vyetu -
Na sadaka yake mwanao - - Usifiwe ewe mtukufu -
Kwa sadaka yake na yetu - - Utuhurumie wakosefu -
Tuletee baraka yako -