Uvipokee
Uvipokee | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 5,550 |
Uvipokee Lyrics
[Uvipokee] Uvipokee
vipaji vyetu Baba twaleta
Ee Baba pokea uvipokee- Zawadi hizi twaleta Baba,
Uzitakase zikupendeze Bwana - Nasi tutoe sisi wenyewe wana wako
Twaleta kwa moyo wa upendo - Ndiyo mazao ya jasho letu
Nasi twakushukuru pokea shukurani - Nafsi zetu tunatoa upendo
Tujali neema na upendo - Twakutolea na nyoyo zetu
Twajiunga na Yesu Mwokozi wetu sisi