Uzipokee Sadaka
| Uzipokee Sadaka | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Composer | M. B. Syote |
| Views | 29,299 |
Uzipokee Sadaka Lyrics
/s/ { Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie, Bwana,
Uzipokee kwa wema, ee Bwana Mungu wetu
/b/ Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie
Uzipokee kwa wema Bwana Mungu wetu
/a/ Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie
Uzipokee kwa wema ee Bwana Mungu wetu
/t/ Bwana Mungu wetu uzipokee sadaka zetu
Bwana uzipokee ee Bwana Mungu wetu } *2- [ b ] Twakutolea sadaka za ibada yetu
Zikupendeze zitupatie wokovu - Ee Bwana usikilize sala zetu
Tunazokutolea Bwana Mungu wetu - Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii
Na tupate maondoleo ya dhambi zetu
Uzipokee Sadaka is one of the most widely spread offertory songs across East Africa, recorded by a handful of choirs from Tanzania and Kenya.