Vipaji Vyetu
| Vipaji Vyetu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 10,726 |
Vipaji Vyetu Lyrics
- Vipaji vyetu - pokea Bwana pokea
Tulivyo navyo - ee (Bwana pokea *2)Pokea pokea pokea Bwana Pokea *2
- Matunda yetu. . .
Mazao yetu . . . - Mioyo yetu. . .
Maisha yetu . . . - Matendo yetu. . .
Magumu yetu . . .