Login | Register

Sauti za Kuimba

Vipaji Vyetu Lyrics

VIPAJI VYETU

 1. Vipaji vyetu - pokea Bwana pokea
  Tulivyo navyo - ee (Bwana pokea *2)

  Pokea pokea pokea Bwana Pokea *2

 2. Matunda yetu. . .
  Mazao yetu . . .
 3. Mioyo yetu. . .
  Maisha yetu . . .
 4. Matendo yetu. . .
  Magumu yetu . . .
Vipaji Vyetu
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments