Ee Bwana Vyote Mali Yako

Ee Bwana Vyote Mali Yako
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views9,780

Ee Bwana Vyote Mali Yako Lyrics

  1. Ee Bwana vyote mali yako (Bwana)
    Twakupa vyote mali yako

    Ee Bwana vyote mali yako (Bwana)
    Twakupa vyote mali yako

  2. Pokea mkate na divai . . .
  3. Mazao ya mashamba yetu . . .
  4. Pokea nazo nia zetu . . .
  5. Pokea nazo nyoyo zetu . . .
  6. Na fedha za mifuko yetu . . .
  7. Na kazi ya mikono yetu . . .
  8. Furaha na uchungu wetu . . .