Zaeni Matunda Mema

Zaeni Matunda Mema
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Composer(traditional)
VideoWatch on YouTube
Views51,639

Zaeni Matunda Mema Lyrics

 1. Zaeni matunda mema, zaeni matunda yale
  Zaeni yenye baraka, zaeni ya heri

  Bwana akiyapokea, yatabarikiwa vyema
  Zaeni matunda mema, zaeni ya heri

 2. Safisha mwenendo wako, safisha matendo yako
  Safisha na Bwana Yesu, safisha yote
 3. Fanyeni kazi kindugu, fanyeni kazi kwa bidii
  Fanyeni na Bwana Yesu fanyeni na yote
 4. Tolea matendo yako pamoja na moyo wako,
  Naye Bwana Mungu wako atakubariki
 5. Baraka za Mungu Baba, baraka za Mungu mwana
  Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote