Baba Yetu
Baba Yetu | |
---|---|
Performed by | St. Mary's Ongata Rongai |
Album | Yesu Nakushukuru |
Category | TBA |
Composer | Ochieng Odongo |
Views | 4,057 |
Baba Yetu Lyrics
Baba yetu wa Mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako na ufike
Utakalo lifanyike- Dunia kama Mbinguni
Utupe leo mkate wetu
Mkate wetu wa kila siku (Baba-) - Tusamehe makosa yetu (Baba)
Kama vile twawasamehe (wale)
Waliotukosea sisi (Baba-) - Situtie majaribuni (Baba)
Walakini utuopoe (kweli)
Maovuni utuopoe (Baba -) - Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba)
Pia nguvu na utukufu (kweli)
Utukufu hata milele (Baba-)