Bwana Mungu Alimuita
| Bwana Mungu Alimuita | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Views | 3,524 |
Bwana Mungu Alimuita Lyrics
- Abrahamu alimchukua mwanawe, Isaka
Akaenda kumtoa sadakaBwana Mungu alimuita abrahamu
Usimchinje mwanao (lakini) tazama nyumba yako
(kondoo) ukamtoe sadaka - Naye Isaka alimwuliza babaye, Abarahamu
Kuni na moto zipo lakini kondoo yuko wapi - Naye Abrahamu alimjibu mwanawe, Isaka
Kuni na moto zipo lakini kondoo Mungu atatupa