Bwana Mungu Tunakuja
Bwana Mungu Tunakuja | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 4,829 |
Bwana Mungu Tunakuja Lyrics
Bwana Mungu tunakuja mbele zako
Tunakuja leo na zawadi zetu
Zipokee zibariki ziwe za kupendeza- Upokee mkate wetu toka ngano ya nchi hii
Upokee divai yetu toka tunda la mzabibu - Mazao ya mashamba tunaleta mbele zako
Nazo fedha za mifuko twaomba uzipokee - Maisha na matendo yetu tunayaleta mbele zako
Roho zetu zenye toba twaomba uzipokee - Tuhurumie si wakosefu tunakuja mbele zako
Tuletee baraka zako kwetu sisi wenye dhambi