Ee Bwana Ikupendeze
Ee Bwana Ikupendeze | |
---|---|
Performed by | Queen of Apostles |
Album | Queen of Apostles |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | J. D. Mkomagu |
Views | 11,171 |
Ee Bwana Ikupendeze Lyrics
{ Ee Bwana ikupendeze, Bwana ikupendeze
sadaka ya siku kuu hii ya leo } *2
{ Sadaka hii ndiyo fidia timilifu,
Ya kutupatanisha na wewe Mungu Baba,
Na pia ibada timilifu ya kukutolea wewe ee Mungu wetu } *2- Tunakutolea mkate na divai
Kazi ya mikono yetu wanadamu - Tunakutolea pia fedha zetu,
Pia na mazao ya mashamba yetu - Tunakutolea nazo nafsi zetu,
Kwa unyenyekevu na kwa moyo safi