Ee Bwana Pokea Vipaji
Ee Bwana Pokea Vipaji | |
---|---|
Performed by | St. Theresa wa Mtoto Yesu, Mwanza |
Album | Kila Kunapokucha |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 6,947 |
Ee Bwana Pokea Vipaji Lyrics
{ Ee Bwana pokea vipaji vyetu -
Ee Bwana pokea vipaji vyetu
tunavileta mbele ya mezayo takatifu } 2
(ee Baba) uvibariki (na pia) uvitakase
Tunakuomba Bwana Mungu upokee- Ni mazao ya mashamba - Bwana Mungu upokee
Kazi ya mikono yetu -
Twakuomba upokee - - Tunaleta nyoyo zetu -
Nazo ugeuze Baba -
Tuwe wako maishani - - Tubariki wana wako -
Tufanikiwe daim -
Katika shughuli zetu -