Mimi Ninakuja

Mimi Ninakuja
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views7,593

Mimi Ninakuja Lyrics

  1. { [ b ] Mimi ninakuja,
    [ w ] Mimi ninakuja na zawadi zangu, Bwana pokea } *2

  2. Mkate na divai, Bwana pokea
    Mazao ya mashamba, Bwana pokea
    Na pia nafsi zetu, Bwana pokea
    Vyote tulivyo navyo, Bwana pokea
  3. Furaha na uchungu, Bwana pokea
    Na kiini cha ngano, Bwana pokea
    Na tunda la mzabibu, Bwana pokea
    Fedha za mifukoni, Bwana pokea
  4. Nafaka upokee, Bwana pokea
    Twakutolea vyote, Bwana pokea
    Kwako Baba Muumba, Bwana pokea
    Kwa njia ya Mwokozi, Bwana pokea
  5. Katika mfariji, Bwana pokea
    Ipate kugeuzwa, Bwana pokea
    Iweze kutufaa, Bwana pokea
    Pokea twakuomba, Bwana pokea
  6. Ingawa ni kidogo, Bwana pokea
    Twakutolea kwa moyo, Bwana pokea
    Baba usikatae, Bwana pokea
    Vipaji vya wanao, Bwana pokea