Mungu Baba Twakutolea

Mungu Baba Twakutolea
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,848

Mungu Baba Twakutolea Lyrics

  1. Mungu Muumba twakutolea sadaka safi
    Ee Baba pokea *2

    [Sadaka] Ee Baba pokea *2
    Tunakutolea sadaka safi *2
    [Sadaka] Ee Baba pokea *2

  2. Mkate huu uwe mfano wa mwili wako-
    Ee Baba pokea
  3. Divai hii iwe ishara ya damu yako-
  4. Na fedha zetu za mifukoni twakutolea-
  5. Maisha yetu kwa roho safi twakutolea-
  6. Mazao yetu ya mashambani twakutolea-
  7. Matendo yetu matesi yetu twakutolea-
  8. Furaha yetu uchungu wetu twakutolea-
  9. Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako-