Ee Bwana Twakuomba Upokee

Ee Bwana Twakuomba Upokee
Performed bySauti Tamu Melodies
AlbumNyimbo za Matoleo
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerP. F. Mwarabu
VideoWatch on YouTube
Views17,299

Ee Bwana Twakuomba Upokee Lyrics

  1. Ee Bwana, twakuomba upokee vipaji vyetu *2
    { Hivyo vyote ni mali yako
    Tumepata kwa wema wako pokea } *2

  2. Mkate na divai twakutolea, twakuomba Baba upokee
  3. Mawazo pia matendo yetu . . .
  4. Twakutolea nan yoyo zetu . . .
  5. Mazao ya mashamba twakutolea . . .
  6. Na fedha za mifuko twakutolea . . .