Malaika Wa Bwana Uchukue Sadaka
Malaika Wa Bwana Uchukue Sadaka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | P. Kalinji |
Views | 14,473 |
Malaika Wa Bwana Uchukue Sadaka Lyrics
Malaika wa Bwana, uchukue sadaka,
upeleke mbele ya uso wa Mungu x 2- Ni mazao ya nchi yetu,
na kazi yetu wanadamu Malaika - Mkate mazao ya shamba,
divai tunda la mzabibu Malaika - Ufikishe sadaka hii,
karibu na kiti cha enzi Malaika - Sadaka yetu ifanyike,
mbele ya uso wa Muumba Malaika