Njooni Tupeleke

Njooni Tupeleke
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views3,552

Njooni Tupeleke Lyrics

  1. Njooni njooni wote, njooni ndugu wapendwa *2
    { Njooni wote tupeleke, nyanyukeni inukeni,
    Njooni watu wema tupeleka sadaka } *2
    Mazao ya tupeleke kwa Mungu.
    Tupeleke vyote, tupeleke taratibu apokee,
    tupeleke abariki.

  2. Waluhya na kuku wapi, Wakamba malenge wapi
    Wateso mihogo wapi, Maasai na ng'ombe wapi *2
    { Vyote ni mali ya Bwana ni mali ya Bwana
    Vyote ni mali ya Bwana tumurudishie Bwana }*2
  3. Nazi, maziwa, asali, nduma na miwa,
    Sukuma, managu, murenda na dania tupeleke *2
    Vyote ni mali ya Bwana . . .
  4. Mkate pia divai mchele hata ngano sadaka
    Hata na zaka tumtolee Mungu *2
    Vyote ni mali ya Bwana . . .
  5. Tupeleke na maembe, ndizi, papai, nanasi
    Tupeleke na machungwa, mahindi na maharagwe *2
    Vyote ni mali ya Bwana . . .