Login | Register

Sauti za Kuimba

Sasa Ndio Wakati Lyrics

SASA NDIO WAKATI

Sasa ndio wakati, wa kutoa sadaka ee eh,
Ndugu fikiria kilicho mfukoni *2
Ee eh dada, songa mbele ukatoe sadaka *2
Ee eh ndugu, songa mbele ukatoe sadaka *2

 1. Na ng`ombe umefuga maziwa unapata
  Ee ndugu fikiria kilicho mfukoni.
 2. Na kuku umefuga mayai unapata
  Ee ndugu fikiria, kilicho mfukoni.

  { Ee ndugu, songa mbele ukatoe sadaka,
  Songa mbele ukatoe sadaka } *2
 3. Na mbuzi umefuga, mutura unapata
  Ee ndugu fikiria kilicho mfukoni*2
 4. Nguruwe umefuga, soseji unapata
  Ee ndugu fikiria, kilicho mfukoni,
 5. Na nyuki umefuga,asali unapata
  Ee ndugu fikiria, kilicho mfukoni.
Sasa Ndio Wakati
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments