Abrahamu Alimchukua Mwanawe
Abrahamu Alimchukua Mwanawe | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Views | 7,082 |
Abrahamu Alimchukua Mwanawe Lyrics
- Abrahamu alimchukua mwanawe, Isaka
Akaenda kumtoa sadakaBwana Mungu alimuita Abrahamu
Usimchinje mwanao (lakini) tazama nyumba yako
(kondoo) ukamtoe sadaka - Naye Isaka alimwuliza babaye, Abarahamu
Kuni na moto zipo lakini kondoo yuko wapi - Naye Abrahamu alimjibu mwanawe, Isaka
Kuni na moto zipo lakini kondoo Mungu atatupa