Ee Baba Pokea Sadaka

Ee Baba Pokea Sadaka
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumViuzeni Mlivyo Navyo
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerG. Hyera
Views7,447

Ee Baba Pokea Sadaka Lyrics

  1. { Ee Baba pokea sadaka yetu tunayokutolea
    Hiyo ni kazi ya mikono yetu wanadamu } *2
    {Twakuomba uipokee, ee Bwana uibariki
    Bwana sadaka hii tunayokutolea } *2

  2. Mkate pia divai tunakutolea
    Upokee utakase na ubariki
  3. Na mazao ya mashamba Baba upokee
    Ni zawadi ya mavuno kwa mikono yetu
  4. Nyoyo zetu tunakupa zote mali yako
    Na fedha zetu tunaleta, Baba zipokee