Ee Baba Yetu Upokee Sadaka
Ee Baba Yetu Upokee Sadaka | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Viuzeni Mlivyo Navyo |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | Basil Lukando |
Views | 4,606 |
Ee Baba Yetu Upokee Sadaka Lyrics
Ee Baba yetu upokee sadaka *2
Ndiyo mapato ya kazi yetu za wiki
Tunakuomba upokee Baba- Pokea mkate huu, pokea divai hii uitakate
Ni mazao yetu toka mashambani, uitakate - Pokea fedha hii tunakutolea uitakate
Ndiyo bidii baba uliyotujalia uitakate - Na maombi yetu, Baba uyapokee sisi ni wako
Kwani uwezo wote una wewe Baba tusikilize