Ee Bwana Twaomba Upokee
| Ee Bwana Twaomba Upokee |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Composer | G. Matui |
| Views | 5,016 |
Ee Bwana Twaomba Upokee Lyrics
Ee Bwana twaomba upokee sadaka yetu hii tunayokutolea
{ Twakusihi sana ibariki Baba
iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli } *2
- Baba twaleta mkate na divai, kazi ya mikono yetu Baba
Ibariki Baba, iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli
- Baba twaleta na fedha zetu, japo ni kidogo sana Baba
Zipokee Baba, zikupendeze ziwe kama zile za Abeli
- Baba twaleta na sala zetu, Baba twakuomba zisikilize
Twakusihi sana, zisikilize kama sala zile za Abeli