Naenda Mimi Nikatoe
Naenda Mimi Nikatoe |
---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | G. Matui |
Views | 2,785 |
Naenda Mimi Nikatoe Lyrics
Naenda mimi nikatoe zawadi nikampe Mwokozi wangu
Naenda mimi nikatoe zawadi Japo kidogo nitakachotoa ninamuomba apokee
- Ule wakati ndugu umefika wa kumpa Mungu wako zawadi
Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
- Hata kidogo ndugu ukatoe, Mungu wako kwani anakuona
Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
- Ulivyo navyo ndugu vya Bwana usisite usimame katoe
Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako