Tutoe Sadaka

Tutoe Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerV. B. Kanuti
Views6,226

Tutoe Sadaka Lyrics

  1. Tutoe sadaka kwa Bwana na Mungu wetu kwa heshima
    Tumtolee Bwana shukrani zetu
    Katoe kwa moyo thabiti katoe ulicho nacho
    Naye Bwana Mungu wako naye Bwana atakubariki

  2. Enyi waumini tutoe sadaka kwa Mungu wetu
    Tutoe sadaka kwa moyo wa upendo
    Tunzo letu kubwa huko Mbinguni
  3. Njooni wote tutoe sadaka zetu kwake Bwana
    Kwa sifa na utukufu wake Mungu wetu
    Kwa shukrani tukampe Bwana
  4. Enyi wakristu fikirini mema ametutendea
    Nasi kwa shukrani tumpe Bwana kama zawadi
    Naye atazidi kutujalia