Twakupa Sadaka Yetu
Twakupa Sadaka Yetu | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Viuzeni Mlivyo Navyo |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | Basil Lukando |
Views | 3,428 |
Twakupa Sadaka Yetu Lyrics
- Twakupa sadaka yetu - Bwana pokea
Uifanye mali yako - Bwana pokeaNdicho tulicho nacho (Bwana) Mungu pokea, twaomba *2
- Upokee huo mkate - Bwana pokea
Upokee nayo divai - Bwana pokea - Pokea na fedha zetu - Bwana pokea
Pokea mazao yetu - Bwana pokea
//hitimisho//
Pokea ee Mungu pokea pokea ee Bwana Mungu