Upokee Sadaka ya Wanao
Upokee Sadaka ya Wanao | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | A. Liampawe |
Views | 3,903 |
Upokee Sadaka ya Wanao Lyrics
Upokee sadaka, sadaka ya wanao
Sadaka ya wanao, twakuomba ubariki
Ubariki Baba kwa upendo
Twakuomba ee Baba bariki- Twaleta sadaka yetu upokee Baba
Kwa upendo tunaomba uipokee - Na mazao yetu Baba pia nazo fedha
Vyote tunakutolea uvibariki - Ee Baba pia twaleta na matendo yetu
Nia pia zipokee tunakuomba