Login | Register

Sauti za Kuimba

Upokee Sadaka ya Wanao Lyrics

UPOKEE SADAKA YA WANAO

@ A. Liampawe

Upokee sadaka, sadaka ya wanao
Sadaka ya wanao, twakuomba ubariki
Ubariki Baba kwa upendo
Twakuomba ee Baba bariki

  1. Twaleta sadaka yetu upokee Baba
    Kwa upendo tunaomba uipokee
  2. Na mazao yetu Baba pia nazo fedha
    Vyote tunakutolea uvibariki
  3. Ee Baba pia twaleta na matendo yetu
    Nia pia zipokee tunakuomba
Upokee Sadaka ya Wanao
COMPOSERA. Liampawe
CHOIRSt. Cecilia Mwenge Dsm
CATEGORYOffertory/Sadaka
SOURCEDar-es-Salaam Tanzania
  • Comments