Matoleo Yetu
| Matoleo Yetu |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Composer | Bernard Mukasa |
| Views | 13,268 |
Matoleo Yetu Lyrics
{ Tunaleta matoleo yetu uyapokee,
Ingawaje tumeyapata kwako uyapokee
Kwa huruma yako, Bwana uyapokee
Japo ni dhaifu, Bwana uyapokee, tunakuomba } *2
- [ s ] Mkate huu ni kiini cha ngano,
Kwenye ardhi uliyorutibisha wewe, Bwana
- Divai ya mzabibu ni yako.
Nguvu za kuilima zimetoka kwako, nasi
- Fedha kidogo tulizojaliwa
Vijisenti hivi hapa twakutolea, leo
- Ulisema nijaribuni ninyi
Kwa sadaka zenu na matoleo yenu, basi
- Kusudi utukuzwe milele
Kama mwanzo na unavyotukuzwa leo, haya