Nitawanyunyizieni Baraka
Nitawanyunyizieni Baraka |
---|
Alt Title | Bwana Asema ya Kwamba |
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 3,654 |
Nitawanyunyizieni Baraka Lyrics
{ Bwana asema, asema,
Mimi nitawanyunyizieni baraka } *2
{ Nitamkemea (nitamkemea)
Yeye ayalaye (yeye ayalaye) mazao ya ardhi yenu
Wala mzabibu wenu hautapukutika } *2
- Leteni sadaka katika ghala yangu
Kiwemo chakula kingi ndani ya nyumba yangu
- Mkinijaribu katika njia hii,
Nitawakemea wadudu, nitawapa baraka
- Mataifa yote wawaiteni heri,
Maana mtakuwa nchi tena yakupendeza