Mpeni Mungu Mali Yake

Mpeni Mungu Mali Yake
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views5,189

Mpeni Mungu Mali Yake Lyrics

  1. { Mpeni Mungu mali yake,
    Mpeni Bwana haki yake. } *2

  2. Leteni zawadi kwa Bwana, mpeni Bwana haki yake
    Mkate, kiini cha ngano -
    Divai, tunda la mzabibu -
    Na Bwana atazibariki -
  3. Na kazi ya mikono yetu -
    Nazo nafaka za mashamba -
    Nayo mapato ya mashamba -
    Na Bwana atayatakasa -
  4. Sisi ni mali yake Bwana -
    Toeni nafsi kwake Bwana -
    Nayo furaha na uchungu -
    Na Bwana atavipokea -
  5. Vitu vyote ni vyake Bwana -
    Itangaze sifa yake -
    Uhubirini ukuu wake -
    Milele hata na milele -