Siwezi Kubaki Kitini
| Siwezi Kubaki Kitini | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Composer | Credo Mbogoye |
| Views | 19,201 |
Siwezi Kubaki Kitini Lyrics
Siwezi kubaki kitini, lazima ninyanyuke, nikamtolee Mungu
Kwani amenijalia mengi yasiyo idadi- Ninayo afya ya mwili na roho
Zawadi hii yatoka kwa Mungu
Kwa nini nisinyanyuke nikamshukuru Mungu - Mahangaiko ya njaa sipati . . .
- Nikisafiri nafika salama . . .
- Nafasi hii mimi nilo nayo . . .