Siwezi Kubaki Kitini

Siwezi Kubaki Kitini
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerCredo Mbogoye
Views14,596

Siwezi Kubaki Kitini Lyrics

  1. Siwezi kubaki kitini, lazima ninyanyuke, nikamtolee Mungu
    Kwani amenijalia mengi yasiyo idadi

  2. Ninayo afya ya mwili na roho
    Zawadi hii yatoka kwa Mungu
    Kwa nini nisinyanyuke nikamshukuru Mungu
  3. Mahangaiko ya njaa sipati . . .
  4. Nikisafiri nafika salama . . .
  5. Nafasi hii mimi nilo nayo . . .