Viuzeni Mlivyo Navyo

Viuzeni Mlivyo Navyo
ChoirSt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumViuzeni Mlivyo Navyo
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerF. A. Nyundo

Viuzeni Mlivyo Navyo Lyrics

Viuzeni mlivyo navyo, mkavitoe sadaka
Kwa kuwa mnajiwekea hazina yenu mbinguni
(Ndugu) kwa kuwa mnajiwekea Mbinguni

  1. Rudisheni kwake Bwana ni mali yake, viuzeni
  2. Onyesheni moyo safi wa ukarimu, viuzeni
  3. Msidhani mwapoteza, mlivyo navyo, viuzeni