Sadaka Yangu

Sadaka Yangu
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerFr. A. Kauki
Views69,037

Sadaka Yangu Lyrics

 1. Sadaka yangu, kwako ee Mungu
  Ni moyo mnyofu na uliopondeka
  Tazama wapendezwa na kweli ya moyo
  Nawe wanijulisha hekima kwa siri
  Nioshe kabisa na uovu wangu wote
  Na kinywa changu kitanena sifa zako

 2. Maana wewe Bwana hupendezwi
  Na dha-bihu za kuteketezwa
  Ama- sivyo mimi ningalikutolea
 3. Wapendezwa na dhabihu za haki
  Kuto-ka- kwa moyo mnyofu
  Zitolewazo juu ya madhabahu yako
 4. Ee Mungu wa wokovu wangu
  Unipe moyo radhi wa utii
  Usiniondolee Roho wako Mtakatifu
Composer: Fr. Kauki