Mmepewa Bure
Mmepewa Bure | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Asifiwe Bwana Mungu (Vol 8) |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | Yudathadei Chitopela |
Views | 5,336 |
Mmepewa Bure Lyrics
- { Mmepewa bure toeni bure toeni bure
mmepewa bure toeni bure toeni bure } *2
{ mmepe-wa bure , kweli mmepewa bure mmepewa bure
mmepewa bure toeni bure toeni bure
mmepewa bure toeni bure toeni bure } *2 - Karama tulizo nazo zimetoka kwake Mungu
Hivyo nasi tuzitumie kwa faida yao watu wote - Tunapotoa kwa moyo tutapokea kwa moyo
baraka pia na neema ku-toka kwake Mungu Baba - Tuige mfano bora wa Mwokozi Yesu Kristo
Alijitoa sada-ka kwa ajili yetu wakosefu