Mmepewa Bure Lyrics

MMEPEWA BURE

@ Yudathadei Chitopela

{ Mmepewa bure toeni bure toeni bure
mmepewa bure toeni bure toeni bure } *2
{ mmepe-wa bure , kweli mmepewa bure mmepewa bure
mmepewa bure toeni bure toeni bure
mmepewa bure toeni bure toeni bure } *2

  1. Karama tulizo nazo zimetoka kwake Mungu
    Hivyo nasi tuzitumie kwa faida yao watu wote
  2. Tunapotoa kwa moyo tutapokea kwa moyo
    baraka pia na neema ku-toka kwake Mungu Baba
  3. Tuige mfano bora wa Mwokozi Yesu Kristo
    Alijitoa sada-ka kwa ajili yetu wakosefu
Mmepewa Bure
COMPOSERYudathadei Chitopela
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMAsifiwe Bwana Mungu (Vol 8)
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYA
TIME SIGNATURE2
4
SOURCEKMC Arusha
  • Comments