Ninaileta Sadaka

Ninaileta Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views2,566

Ninaileta Sadaka Lyrics

  1. Ninaileta sadaka yangu, mikononi mwako pokea Mungu wangu.
    Japo ni kidogo ndilo pato langu, mikononi mwako pokea Mungu wangu.

  2. Ninaileta sadaka yangu, kwa moyo mmoja na wenye ukarimu.
    Japo ni kidogo ndiilo pato langu, nililolipata kwa wiki nzima e Bwana
  3. Nashika mkate pia nayo divai, zao ya mashamba e Bwana ninaleta.
    Umenipa vingi, ee Bwana nashukuru, nami naudisha ijapo ni kidogo sana.