Matoleo ya Wana wako
| Matoleo ya Wana wako | |
|---|---|
| Alt Title | Hiki kidogo |
| Performed by | - |
| Category | Offertory/Sadaka |
| Composer | Bernard Mukasa |
| Views | 15,206 |
Matoleo ya Wana wako Lyrics
- Hiki kidogo, kikakupendeze, ni matoleo ya wana wako *2
- Mkate divai madhabahuni, ni matoleo ya wana wako
- Malimbuko ya juhudi zetu, ni matoleo ya wana wako
- Fedha tulizotolea jasho, ziwe ishara ya nia zetu…
- Sala maombi shukrani, na nyimbo zetu zipae kwako…
- Tukutukuze katika yote, uhimidiwe milele yote…