Hesabuni Hatua Zenu

Hesabuni Hatua Zenu
ChoirTBA
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerVictor Aloyce Murishiwa
Musical Notes
Time Signature6
16
Music KeyG

Hesabuni Hatua Zenu Lyrics

 1. { Amkeni wote tupeleke vipaji vyetu, (twende)
  Tusizifukie talanta tulizopewa } *2

  Hesabuni hatua zenu moja mbili tatu,
  Tembeeni tukamtolee Mwenyezi vipaji vyetu
 2. Simameni wote onyesheni upendo wenu (kweli)
  Na uaminifu katika mioyo yenu
 3. Mwambieni Mungu twakushukuru kwa mema yako (yote)
  Ulotujalia katika maisha yetu
 4. Ewe mwanadamu ukumbuke kumshukuru (Mungu)
  Umshukuru Mungu wako kwa kila jambo

Favorite Catholic Skiza Tunes