Kazi Ibarikiwe

Kazi Ibarikiwe
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerBernard Mukasa
Views5,830

Kazi Ibarikiwe Lyrics

  1. {Sadaka yetu tunayokutolea, Juhudi zetu tunaziombea,
    upokee (pokea) upokee (pokea) upkee sadaka ya wanao } *2
  2. Ya mkate na divai, mazao tuliyolima sisi
  3. Ya fedha na ya mali, kwa kuwa tumevipata kwako
  4. Ya muda na karamu, maana yote ni mali yako
  5. Kusudi ikupambe, popote wakutukuze wewe