{Sadaka yetu tunayokutolea, Juhudi zetu tunaziombea,
upokee (pokea) upokee (pokea) upkee sadaka ya wanao } *2
- Ya mkate na divai, mazao tuliyolima sisi
- Ya fedha na ya mali, kwa kuwa tumevipata kwako
- Ya muda na karamu, maana yote ni mali yako
- Kusudi ikupambe, popote wakutukuze wewe
|
Kazi Ibarikiwe |
COMPOSER | Bernard Mukasa |
CATEGORY | Offertory/Sadaka |
MUSIC KEY | G |
TIME SIGNATURE | 4 4 |
|
|