Baba Tunaleta Vipaji
Baba Tunaleta Vipaji |
---|
Performed by | - |
Category | Offertory/Sadaka |
Composer | S. G. Fuluge |
Views | 35,065 |
Baba Tunaleta Vipaji Lyrics
- Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokea
Twaja kukushukuru kwa yote ulotujalia wanao
Baba tunaleta twakuomba sana pokea
Baba tunasema, asante, asante
Kutupa uzima, asante, asante
Kwa kutukomboa, asante, asante
Kutuweka huru, asante, asante
- Mkate na divai twaleta twakuomba sana pokea
Ndiyo kazi yetu wanao twakuomba sana pokea
- Mazao ya mashamba twaleta twakuomba sana pokea
Hata ni kidogo twaleta twakuomba sana pokea
- Nazo fedha zetu twaleta twakuomba sana pokea
Utupe baraka twaleta twakuomba sana pokea