Baba Tunaleta Vipaji

Baba Tunaleta Vipaji
Choir-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerS. G. Fuluge

Baba Tunaleta Vipaji Lyrics

1. Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokea
Twaja kukushukuru kwa yote ulotujalia wanao

Baba tunaleta twakuomba sana pokea
Baba tunasema, asante, asante
Kutupa uzima, asante, asante
Kwa kutukomboa, asante, asante
Kutuweka huru, asante, asante

2. Mkate na divai twaleta twakuomba sana pokea
Ndiyo kazi yetu wanao twakuomba sana pokea

3. Mazao ya mashamba twaleta twakuomba sana pokea
Hata ni kidogo twaleta twakuomba sana pokea

4. Nazo fedha zetu twaleta twakuomba sana pokea
Utupe baraka twaleta twakuomba sana pokea

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442